top of page
MPS_LOGO2_3_Brown_Horizontal.jpg

Karibu

Macmeghji Plastic Surgery ni Kliniki ya kwanza na ya kudumu ya Upasuaji rekebishi na urembo wa maumbile jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tunamiliki timu ya wataalamu wa matibabu walio na ujuzi wa hali ya juu na waliohitimu mafunzo maalumu. Pia tuna wafanyikazi wasimamizi hodari ambao hufanya Kliniki yetu ya upasuaji istawi vizuri. Madaktari na wauguzi wetu wana uzoefu wa miaka mingi wa kutibu na kutoa huduma za karibu, kibinafsi na bora. Tunajivunia kuipatia jumii yetu huduma za kiwango cha kimataifa, ubora wa juu, inayozingatia elimu ya afya. Bofya hapa ili kujua zaidi kuhusu huduma zetu.

Watoa Huduma za Kina

Our Services

Siku ya Spa

SAA ZA KAZI

Tupo Hapa Unapotuhitaji

Jumatatu - Ijumaa
5:30 jioni - 8:30 jioni
Jumamosi
9:00 asubuhi - 1:00 jioni

WASILIANA NASI

6 Ohio St., Zambia High Commission,

Ilala, Dar es Salaam, Tanzania.

P O Box 65206, Dar es Salaam.

Simu: +255 743180892

WhatsApp: +255 7431 80892

+255 685080892    

  • Instagram
  • LinkedIn
  • Twitter
  • Facebook

Thank you for submitting!

bottom of page